Msaada kufungua akaunti ya bank

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
566
115
Habarin wadau naomba kufahamshwa n bank gan (mbal na CRDB) naweza fungua akaunti bila usumbufu wa kupeleka barua toka serikal za mitaa ila wawe na master au visa card
 
Karibu NMB mkuu pia wanayo Mastercard na unafanya online payment pia ukienda na barua ya mwenyekiti fasta unapata akaunti yako...
 
Back
Top Bottom