Msaada; Simu yangu ni orijino lakini inapoteza IMEI

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Simu yangu ni original samsung galaxy note II ila ina tatizo la kupoteza IMEI kila mara. Naomba msaada namna ya kudhibiti hili tatizo.
Ahsanteni.
 
Haiwezi tena kusoma mtandao. Haifanyi kazi yoyote inayohusisha mtanda! Iwe kupiga simu, kutuma ujumbe wa maandishi! Wala chip haisomi mtandao kabisa.
 
Dah basi hili nin janga kwenye Sumsung nyingi hata yangu ni hivyo hivyo na juzi kati niliend ofisi za Vodacom nikakuta the same tatizo la watu wanalalamika
 
Pole sana aisee, ila hata mimi nina tatizo kama hilo ila lipo tofauti kidogo tu maanake mimi nilinunua Bravo Z11 ya Airtel yapata mwezi sasa ilikua pouwa tu ila jana line ya voda imepiga x na wakati hii ni simu original
 
Simu yangu ni original samsung galaxy note II ila ina tatizo la kupoteza IMEI kila mara. Naomba msaada namna ya kudhibiti hili tatizo.
Ahsanteni.
Kuna file linaitwa EFS itakuwa lime corrupt au umelifuta.Nenda kwa fundi simu mwenye box kama simu yako ipo rooted ni faster tu anarudisha imei.ilishawai nitokea nikaomba msaada humu.
 
Kumbe tupo wengi hata mimi sumsung galaxy note 4 imezingua jana,ilianza kwa kukata mawasiliano ya kupiga, kupigiwa na sms lakini data ikawa inafanya kazi baadae ikakata mawasiliano yote lakini nilipotuma IMEI TCRA nikakuta kuna utofauti wa herufi iliyopo mwishoni mwa zile namba ambapo kwenye simu kuna C wakati waliyotuma TCRA kuna H
 
Hta mm nlikuwa na tecno nkisoma ime ipo tofauti nkatinga kariakoo kuna watundu bna
 
Back
Top Bottom