Wana JF,
Poleni na majukumu ya siku nzima, jamani simu yangu nokia XL inakataa program ya whatsapp na kila niki install inakata kufunguka inaniambia kuwa device is not supported. Naombeni msaada kwa mtu anaejua jinsi ya kuinstall whatsapp!
Asanteni.
Nilishawahi kujaribu kui install whatsapp kwenye simu kama yako but ikagoma hata baada ya kufata procedure nilizozipata baada ya ku google!!nadhani hizo simu za Nokia XL hazisupport whatsapp!!
Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
Mkuu mbona nilishapost hiyo kesi hapa hebu tazama hapa chini, ukifanikiwa ulete mrejesho tafadhali
mimi binafsi natumia nokia x hvyo natoa maelekezo kusaidia wanajf leo.
1.ingia kwenye settings>security>unknown sources hapo utaweka tick ili uweze ku-allow installation from unknown sources.
2.ingia internet kupitia browser ya kawaida km mozila au yoyote ile usiingie kwenye nokia store wala 1mobile market hutapata setup inayotakiwa, hivyo ukiwa kwenye internet search "OLD VERSION OF WHATSAPP PLUS" au WHATSAPP PLUS hapo utaidownload then install kwa kufuata maelekezo ya kawaida.
Simu nyingi hukataa kuinstall whatsapp plus new version ndio maana nashauri watu watumie hyo old version kwanza, ukisha-install itaonekana ina rangi ya blue tofauti na whatsapp ya kawaida ambayo hua na rangi ya kijani.
Asanteni sana. Utauliza ukikwama popote.
Naomba kuwasilisha
Natumia simu kama hiyo lakini nimejaribu kuweka whatsapp plus bado haikubali, nikawatafuta watu wa nokia jibu walilonipa ni kuwa bado wanafanya mazungumzo na mmiliki wa app hiyo. Lakini wakaniomba niende oficn kwao wanisaidie, sijaenda
Mkuu mbona nilishapost hiyo kesi hapa hebu tazama hapa chini, ukifanikiwa ulete mrejesho tafadhali
mimi binafsi natumia nokia x hvyo natoa maelekezo kusaidia wanajf leo.
1.ingia kwenye settings>security>unknown sources hapo utaweka tick ili uweze ku-allow installation from unknown sources.
2.ingia internet kupitia browser ya kawaida km mozila au yoyote ile usiingie kwenye nokia store wala 1mobile market hutapata setup inayotakiwa, hivyo ukiwa kwenye internet search "OLD VERSION OF WHATSAPP PLUS" au WHATSAPP PLUS hapo utaidownload then install kwa kufuata maelekezo ya kawaida.
Simu nyingi hukataa kuinstall whatsapp plus new version ndio maana nashauri watu watumie hyo old version kwanza, ukisha-install itaonekana ina rangi ya blue tofauti na whatsapp ya kawaida ambayo hua na rangi ya kijani.
Asanteni sana. Utauliza ukikwama popote.
Naomba kuwasilisha
Nashukuru kaka, lakn nimejaribu kufanya ulivyoshauri lakn bado inaniambia kuwa device is not supported. Nifanye nn hapa?