mikongotiamani
New Member
- Jan 18, 2012
- 2
- 1
Salaam,
Naomba kujua fundi mzuri wa LG nina simu yangu aina ya LG G4 ilianza tatizo la kuzima ghafla na kuchukua mda mrefu kuwaka.
Ikiwaka ukiingia kwenye programu yoyote inazima tena na kuchukua mda mrefu sana.
Nikaipeleka kwa mafundi simu wale waliopo IPS Building sasa wamehamia jengo opposite na IPS Building, wakaiflash, sasahivi inachukua mda mrefu zaidi kuwaka kuliko awali na tangu jana imegoma kuwaka kabisa. Sijui tatizo ni nini. Msaada tafadhalini