Samsung yangu DUOS haisomi mtandao tangu jana

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,526
8,791
Wakuu msaada kwenye sumsung yangu imegoma kabisa kusoma mitandao jana ilikuwa haisomi mtandao mmoja yaani VODA ila kwa sasa imegoma kabisa mitandao yote, haisomi, ila internet inafanya kazi, Nini tatizo? na kuna solution yake au ndo imetoka?
 
Back
Top Bottom