Msaada laptop yangu imekataa Kabisa kuwaka.

grand casual

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
255
155
Habar za mchana wakuu,

Laptop yangu ni Aina ya dell vostro 1200 mwanzo ilikua na tatizo LA kuzima yenyewe hata kama ilikua haijapata joto Sana, sasa basi tokea juzi haiwaki kabisa. Msaada wakuu unahitaka!
 
wataalamu mje basi huku kutoa msaada na mniambie na mimi toshiba laptop ya kwangu hapa tunakopapasa pameacha kufanya kazi natumia mouse ya kuchomeka pembeni ni ugonjwa gani na tiba ikoje? nawasi wasi kama wataalamu wa humu ni washabiki wa yanga basi majibu tutayapata jioni.
 
mkuu jaribu kuangalia je inawsha taa yoyte, ukipress power button je feni zinazunguka? hiyo adapter ni nzima? battery je ni nzima? kama haiwaki kabisa basi imekufa motherboard unatakiwa kufikiria kupata laptop nyingine.
 
Jaribu kubonyeza (Fn + F9) mkuu
 
mkuu jaribu kuangalia je inawsha taa yoyte, ukipress power button je feni zinazunguka? hiyo adapter ni nzima? battery je ni nzima? kama haiwaki kabisa basi imekufa motherboard unatakiwa kufikiria kupata laptop nyingine.
Ndio Kuna vitaa vutatu vinawaka cha power button na cha chaji
 
Mkuu grand casual kwa case ya laptop yako kwanza unatakiwa ujue kama tatizo ni hardware au software,Jaribu kuwasha mashine yako kisha hold F2 button kwa muda mrefu ....ikiweza kukuletea massage "Now your Entering Bios Setup"au display yako ikionyesha maandishi yoyote yale bac tatizo lako litakuwa ktk software inabidi ujaribu kurepear Operating System unayotumia au kuinstall freshy copy ya OS,na iwapo hakuna maandishi yoyote yatatokea katika Display probably hilo litakuwa ni tatizo la hardware and mostly inaweza kuwa RAM imefail hivyo unaweza jaribu badilisha RAM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom