Kama unatumia tecno c8 na bado hujafanya update ya android 6.0 (Marshmallow) with HiOS ingia kwenye link hii na ufuata maelekezo.
Yapo kwa kiswahili ukikwama uliza utajibiwa.
[OFFICIAL VERSION]...
wakuu habari za muda.
Nina betri kubwa ya gari. Aina ya EXIDE volt 12 ( N150).Swali langu ni je hii betri nikiifungia solar panel itaweza kudumu pasipo kupoteza ubora wale?. Je kwa hiki kioo...
Habari
Ninatumia windows phone ,tatizo ni kuwa siwezi kupata menu za Tigo pesa na mpesa yaani kila ni nikipiga *150*01# au *148*00# nakadhalika inanipa unknown error.naomba mwenye maujuzi ananisaidia
Nitumie app gani kusoma THE CURRENT MAP VIEW, ambayo inaonyesha vitu halisi vilivyopo kawa sasa, mfano nikipaki gari kisha nikaingia kwenye map location Nione kwa muda huo huo.
Niliyonayo kwenye...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili
Naomba msaada niweze kufungua gmail account yangu maana imenigomea kila ninapojaribu ku-log in inasema wrong password na nimejaribu kufuata procedure za kusahau...
HAbari ya nyinyi wana jamvini, wengi tumekuwa tunatamani kupata access ya Wireless intenet , But kikwazo ni key za kuweza kuingia ili tupate access ya internet, mdogo wenu nimezama machimbo yote...
Mwaka juzi bro alinunua ipad min 3 akatengeneza icloud account n mwaka jana ameniachia na bahati mbaya amesahau icloud password yake na mm inanitesa sielewi ni njia gani ya kuitoa icloud email na...
Naomba kujua ni kwanini hili linatokea, ni kwamba TCRA hawana uwezo wa ku control baadhi ya makampuni au kuna ujanjaujanja??.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kuna jamaa anataka kuniuzia modem kwenye picha, kwa mtu yoyote ambaye amewahi tumia nataka nijue performance yake ipo poa? Na vipi haichagui line kweli? Ipo poa kwa 4G kweli?
Wakuu habari.
Nina simu LG g3, nilikuwa safarini nikawa na mapumnziko ya siku 2 mjini Maputo, ambako niliuziwa hiyo simu niliyoitaja hapo juu.
Baada ya kuitumia kwa muda wa kama wa mwezi mmoja...
Salaam jf.
Simu y angu aina ya
Samsung Galaxy Y Duos S6102. Nilifanikiwa kuiroot na kuifanyia custom kutoka 2.3.6 gingerbread kwenda 4.4 kit kat sasa hii kitu 4.4 ikawa imemaliza memory yote...
Kuna system moja ya custom nimekutana na hizi terms IM7, IM4, IM5, EX1, n.k
Nimejaribu ku-google lakini bado sijapata business process inavyokuwa kwa kila aina ya hizi terms.
Naomba mwenye...
Habari za leo wadau......naomba kuwasilisha kwenu na kuomba msaada wa ushauri juu ya microphone nzuri na affordable kwa ajili ya kurusha matangazo ya moja kwa moja i mean kama ya radio za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.