Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,203
- 5,704
Bila shaka malengo ya TCRA yameshindwa kufikiwa ama ujanja wa Wachina katika kutengeneza Simu feki ni mkubwa kuliko walivyofikiri TCRA
Bila shaka TCRA walikuwa wakibaini simu fake kwa kuangalia IMei iliogushiwa tu, ambayo haikutolewa na GSM, kqma simu ilikuwa na Imei ya namna iyo basi ilifungiwa lakin simu iliyokuwa na Imei iliotolewa kimataifa alafu ikawekwa kwenye simu fake TCRA iyo iliwapiga mueleka na hawakuikamata.
Na lengo la TCRA bila shaka halikuwa simu zenye viwango duni ilikuwa ni Imei zisizotambulika tu. Huku mtaani Simu za viwango duni zimejaa na zinadunda, simu za tachi za elfu 45 ambazo kama si mzoefu kidole kinachubuka kwa kui slide wakati wa kuitumia zimejaa
Kwa mfano mimi nna Simu ina jina Samsung ukiiona hata kuuza nauza bila tatizo kama orijino, lakini Ni fake Imei yake ni ya D.Tel na haikuzimwa, swali ni kwanini? kwasababu Imei ni halisi ila simu ndio fake.
Hizi za hivi zipo kibao mtaani, wachina ni wajanja wanachukua GSM Imei au utambulisho wa simu halisi wanaweka kwenye simu zao za viwango Duni na zisizo halisi(fake) sasa kwakuwa TCRA wanatumia tu Imei ku detect basi hili kwao ni mueleka.
Kwa mujibu wa TCRA walizima simu takribani laki 6 hapa ni pamoja na simu zenye Imei mbili na ndizo nyingi, ukiunganisha ni takriban simu laki 3 tu zilizozimwa. Hivi ni kweli? nchi hii simu fake laki 3? hapa mmekula mueleka
Nadhani niwapendekezee serikali njia mbadala wa kuepukana na simu fake na viwango duni nikusimamia uingizaji tu basi la sivo simu fake zimewalamba chenga mtaani zimejaa, wafanya biashara k.Koo nao walishangaa mbona bado zinafanya kazi, wananchi wanasema walikurupuka mbona simu zinafanya kazi, wengi tulikuwa na simu tulizojua zinazimwa ila imekuwa kinyume.