Habari,
Elimu ni bahari, na popote pale waweza pata elimu,
kwa kuzingatia hilo naleta kwenu wana jamvi, ombi la kufafanuliwa kwa undani juu ya lenses za Digital Cameras kama NIKON au CANON na...
Wakuu naombeni msaada, niliibiwa simu hivi karibuni kibaya zaidi mwizi namfahamu na picha zake ninazo tatizo ni kwamba nimejaribu kwenda polisi sijapata msaada zaidi ya kufungua faili tu.
Mbaya...
Nahitaji kujua Ku design electronic CCT kama inverter, amplifier, security system, n.k
Nahitaji miongozo, kielimu nipo chuo kikuu mwaka wa pili mechanical engineering ila napenda electronics CCT...
Habari wakuu.. nina simu aina ya Samsung Galaxy Ace 4 neo. Tatizi ninalolipata ni speed. Sielewi tatizo ni lipi hasa. Je ni RAM? SOFTWARE VERSION? au nini? Suala la software ilikuwa ipo built na...
za leo ndugu
zantel wanakupa modem mpya ina 21Mbs kama downlink na 5.7Mbs kama uplink speed bado sijaanza kuzitumia so nauliza wenye uzoefu waniambie zikoje? speed yake
pia tatizo langu ni warrat...
habari za leo wanaforum yetu pendwa, kama heading inavyosema hapo juu. hapa ofisini kwetu zimekuja computer za msaada zikitumia N computing system. awali zilikuwa zinapiga kazi fresh tu. Ila sasa...
Kifup napenda niangalie vitu vyangu vya kwenye smartphone kupitia tv screen. Kwa mfumo wa wireless naona kutumia wi fi ya tv ni bora zaid. Lakin nimeshangaa sony bravia tv yangu haina built in...
wadau niliweweka kwenye archive files zangu kadhaa na kuamua kuzifungia kabisa na password. lakini sasa najaribu kuingiza password week ya tatu hii zote zinakataa. je kuna namna gani ya kuokoa...
rejea kicha cha habari hapo juu.Akaunti yangu ya gmail haifunguki.Nijaribu kuingia wanasema ukurasa haupatikani.Cjui tatizo nn kwa anaejua. hatua za kuweza kusolve hli tatzo. nawasilisha.
Walioitumia na wanaoitumia naomba wanisaidie tafadhali TECNO L5 inakaa na chaji kwa siku ngapi kwa data ya 3G ikiwa ON while on heavy usage.
Je,TECNO L5 na L8,ipi inayokaa na chaji zaidi ya mwenziye?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.