Button za laptop hazifanyi kazi

dr lumilo

JF-Expert Member
May 26, 2016
271
67
Wakuu nahitaj ushaur kwa wale matechinician wa computer ..nina laptop yangu kuna baadhi ya button hazifanyi kaz ...na pia mouse haisens..laptop yangu ni acer..msaada wa mawazoo wakuu. Nimewapelekea mafund wananipiga chenga tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom