Wakuu na unlock vipi hii modem ya Zain

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
Jina la mtandao wa modem Zain

Model E1550 Hspa usb stick iko manufactured na huawei na unlock vipi iingie chip zote
 
Hiyo modem ni gsm au CDMA, ila ni Kama zile 3G flashing files zake zilishawahi kuwekwa humu jaribu kutafuta.
 
Back
Top Bottom