juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,477
Tatizo Limeanza Jana Nilipoiwasha Ikawaka Na Kuonyesha Boot Options Lakini Windows Haikuload Nikadhani Ni Windows Imecorrupt Kila Nikijaribu Kuweka Windows Nyingine Inagoma. Kufikia Usiku Ikawa Inawaka Taa Zote Na Feni Zinawaka Ila Screen Haionyeshi Kitu Wala Zile Boot Options Hamna Inakuwa Blank Nyeusi Tu.
What Could Be Wrong Wakuu Msaada Tafadhali.
What Could Be Wrong Wakuu Msaada Tafadhali.