Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,366
- 834
Nina Huawei tajwa hapo juu.
Tatizo lake ilianguka na ukiiwasha inawaka, nembo ya Huawei inatokea na haimaliziki inajirudiarudia, au inawaka vizuri.
Baada ya sekunde kadhaa inapoyeza kumbukumbu, logo ya Huawei inatokea na kujirudiarudia na inapata moto sana.