Ku-update android software (msaada)

dj medy

Member
Aug 11, 2014
48
9
Habar wakuu,
Naomba msaada kwa yeyote anayejua jambo ili la kuupdate software ya samsung galaxy s3, model SHV-E210S, android version yake kwa sasa ni 4.3.
Nimejalibu mala ya kwanza imenletea ujumbe wa 'fail to update use skt usim card ',
Pia Nmejaribu tena baada ya kutoa line na kutumia wifi imeleta ' your device has been modified, software update are not available.
Msaada tafadhali.
Natanguliza shukran.
Asante
 
hio simu sio international version huwezi pata software updates huku na pia kuna uwezekano ina root ndio maana unaambiwa ipo modified. pia s3 nyingi zimeishia 4.3 zipo baadhi zilipata 4.4 ila huwezi kwenda mbele zaidi ya hapo hadi uwe na custom rom.
 
Nmeicheki iki unrooted,
Na pia inadai update lakin nki update inazingua
 
hio simu sio international version huwezi pata software updates huku na pia kuna uwezekano ina root ndio maana unaambiwa ipo modified. pia s3 nyingi zimeishia 4.3 zipo baadhi zilipata 4.4 ila huwezi kwenda mbele zaidi ya hapo hadi uwe na custom rom.
Kaka habari
Nina samsung sm g 530h imeishia 4.4 sasa napenda saana kwenda version 5 ,vipi naweza kupanda mkuu bila madhara kwa simu husika !?
Ahsante
 
jaribu kuflash rom ya kitkat moja kwa moja ila kuwa makini tu rom za korea mara haina ussd mara inamis hiki na kile, cheki sammobile kwa rom tumia odin kuflash

pia kama una ujuzi kidogo ni vyema ukaangalia kama kuna rom ya cyanogen ya simu yako uende latest version kabisa kwa custom rom
 
Kaka mimi kujaribu hapana ,nilipenda tu kufahamu kama inawezekana ili nitafute fundi ,shaka yangu kubwa ilikua kwanza simu kutokufa pili tcra hawatofungia maana nasikia flashing zingine wanabadili mpaka imei namba (sina hakika lakini).

huyo fundi ndio atakubadilishia imei sasa, ukifanya official update haina madhara (ni nadra sana kupata madhara) ila zile update za mafundi ndio zinazingua.
 
jaribu kuflash rom ya kitkat moja kwa moja ila kuwa makini tu rom za korea mara haina ussd mara inamis hiki na kile, cheki sammobile kwa rom tumia odin kuflash

pia kama una ujuzi kidogo ni vyema ukaangalia kama kuna rom ya cyanogen ya simu yako uende latest version kabisa kwa custom rom
Poa lakin iyo mission inaitaji rooting?
 
Sammobile inafanyika kwenye pc, na kama sivyo naomba masaada wako wa jinsi inavyo fanyika
 
sammobile ni website ya kudownloadia rom na odin ni software ya kueka rom kwenye pc, ila kama huvielewi elewi ni bora uache utafute anaejua akufanyie
 
Back
Top Bottom