Natumia vodafone 785 ya laini moja. ninaomba msaada wa ku unlock ili niweze kutumia laini tofauti na VODACOM IMEI NO 359729059554596 SVN 240HPG1 natanguliza shukrani
Kuuliza si ujinga waungwana kuna watu nimesikia wakisema computer za apple haziruhusu virus yoyote ku attack its os na ni moja ya sababu inayosababisha computer hizo ziuzwe bei kubwa..watumiaji wa...
Habari za usiku huu jamani, naombeni msaada jinsi ya kuinstall Mobdro kwenye ajili ya TV kwenye PC. Nilijaribu kufanya kama kwenye simu nikashindwa. Kwenye simu iko poa sana.
Natanguliza...
Wakuu habari za siku, ni matumaini yangu wazima wa afya.Naombeni msaada kuna images nahitaji kuzifanya zionekane vizuri ili niweze attach kwenye document (Ms Word) nimeambiwa nitumie...
Ingawa Speed Test sio accurate sana lakini pia Smile wameshuka kulinganisha na mwanzoni. Hii inaashiria wateja wameongezeka. Hapo kwenye setting ya speed imewekwa Highest speed ya 21Mbps
HAPA...
Habari wakuu, nina lenovo ideapad, imekuja na windows 10 installed kabisa.sasa leo nlikua nafungua settings lakini hai respond. Kwa anaejua solution ntashukuru sana[emoji120]
hellow wazee wa technologia , kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji external hard disk iliyo used(branz nzuri iliyo katika hali nzuri) bajeti yangu ni tsh. 120000
Nasawasilisha kwenu.
Ni Tofauti na vyombo vinginevyo vya usafiri, Nimekuwa nikiona ndege nyingi (hasa hizi za kibiashara) zikiwa na rangi nyeupe tu (Ukiondoa za kijeshi) kwanini inatumika rangi hiyo tu. Kwanini...
Oiiiiiiii wadau kuna hii kitu inaitwa Pokemon Go naona kila mtu anaiongelea ,nmejaribu kuitafuta app store naona vinakuja vitu vya ajabu ajabu,kama kuna mtu ameishaijaribu basi anipe procedure...
Habari za wakati huu....wakuu.....
Hivi karibuni nilikumbana na hali isiyo ya kawaida kwenye ap ya JF iliyopelekea kuifuta.....lakini tangu baada ya kuifuta nimekuwa siipati tena kwenye jukwaa la...
Baada ya mwaka mmoja na miezi kadhaa,idea yangu imekuja kuwa harisi baada ya kile nilicho kuwa nakiota kutimia.
Lengo langu lilikuwa ni kuunda mtandao wa kijamii ambao ungekuwa na mambo...
Nilikuwa katika mipango ya mwisho ili niweze kulipia simu ebay (Nexus 5x) kwa thamani ya 300$ (shipping included) baada ya seller kuniambia ana ship kwa fedex international priority ikabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.