Manunuzi ya vitu eBay na Amazon

Manunuzi ya vitu eBay na Amazon

JYTK

Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Ndugu zangu me nauliza ukinunua kitu eBay au Amazon kinaweza kikanifikia salama Tanzania???
 
Ndugu zangu me nauliza ukinunua kitu eBay au Amazon kinaweza kikanifikia salama Tanzania???
Ndio vinaweza kukufikia salama salimini. Mimi nimefanya manunuzi kadhaa nimefanikiwa. Ila kuna transaction ya mwisho haijawa successful yaani sijapata mzigo wangu. Kuna uhuni wauzaji wanaufanya
 
Na ukifanyiwa uhun kma ivyo hmna sehemu unweza complain??
 
Na ukifanyiwa uhun kma ivyo hmna sehemu unweza complain??
Yaan hiyo complain inatakiwa utoe ndani ya two months baada ya kufanya transaction na kama bado mzigo wako haujafika. Sasa mimi nilichelewa zaidi halafu yule muuzaji akawa amesha funga biashara hayupo tena.
 
Back
Top Bottom