kujua model ya simu,imei n.k ikiwa off

kujua model ya simu,imei n.k ikiwa off

C J

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
77
Reaction score
60
Wakuu nataka driver itakayoniwezesha kupata details za simu ninapo iconnect kwenye computer wakati imezimwa aina za simu ni zenye chip ya mediatek
 
hakuna mkuu

Je simu yenyewe ni nzima? Na ni Mediatek Android?
tumia computer connect kwa USB na utumie software ya MTKDroid Tool, ikisha detect itakuambia kila kitu kuhusu simu hiyo.
 
Asante mkuu hii software iko ready installed na nime connect simu but hainipi info zozote simu ni nzima je hakuna drivers yakuniwezesha kudect simu najaribu kuinstal mtk usb drivers still inazingua
 
unatakiwa kuInstall ADB drivers .. http://adbdriver.com/upload/adbdriver.zip

na kama unatumia windows 8, 8.1 au 10 inaweza kuzingua kwasababu hizo drivers hazijapita windows signature. Hivyo Run command zifuatazo.

1) Start Command Console as Administrator and write (to disable the signatures check:

> bcdedit /set loadoptions DISABLE_INTEGRITY_CHECKS

> bcdedit /set testsigning ON

2) Restart the Windows

3) Install the ADB USB driver(s),

confirm the installation for all questions asked by the system ...

UkishaInstall fanya hivi tena...

4) Start Command Console as Administrator and write (to return back the signatures check):

> bcdedit /set loadoptions ENABLE_INTEGRITY_CHECKS

> bcdedit /set testsigning OFF

5) Restart the Windows
 
Nashukuru sana mkuu
Thanks

Back
Top Bottom