Please mwenye key za kiswahili- English Dictionary naomba anisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please mwenye key za kiswahili- English Dictionary naomba anisaidie

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Hakikwanza, May 10, 2012.

 1. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu mwenye key za hiyo software naomba anisaidie Asanteni
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kama unamaanisha TUKIm chukua hii ni free : TUKI
   
 3. N

  Nyasiro Verified User

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Swa-Eng ipi? unamaanisha ile inayofanya kazi kwa dakika kadhaa af inajifunga...au ipi

  EDIT

  Baada ya kuona mapungufu na madhaifu yaliyopo kwenye kamusi ya TUKI na hiyo ya tshwanedje. Niliamua kutengeneza Kamusi yangu inayoitwa ESE Dictionary

  DOWNLOAD NOW

  Fatilia mjadala hapa: https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/575043-introducing-ese-dictionary-%96-%93kamusi%94.html
   
 4. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  ni hiyo inayojifunga baada ya masaa kadhaa
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Mkuu Hakikwanza sijui nini nyasiro Fatma Bawazir
  .hii kamusi ya TUKI nilishawahi kuipost hapa JF ... hii ndio yenyewe sasa kama wewe unataka hiyo tu haya ila kama unataka hii basi ngoja nikopi ile post yangu ili na wewe uipate


  WanaJF!

  Habarini wote!

  Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza naKingereza kwenda Kiswahili.

  Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya kila mmoja wetu.  Link yenyewe ni hii hapa (download):


  http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip
  N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie.

  Kama ukiona post hii imekuwa ni ya msaada kwako
  si mbaya ukagonga kile kidude chetu cha LIKE!.

  All the best!
   
 6. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,302
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Mkuu hata mimi nina shida na key za hii inayojifunga baada ya dakika chache, kisha inanidai key.
   
 7. KUCH KUCH

  KUCH KUCH JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2016
  Joined: Dec 18, 2015
  Messages: 229
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  HII NZURI, WABEJA SN
   
Loading...