William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Wakuu naombeni muongozo nataka kununua DESKTOP nina bajeti ya 700000 nataka iwe core i7 icheze magem yote latest
Nahitaji ifanye kila kitu lakini nimetaja game kwa kuwa inahitaji mambo mengiWanakuja gamers...labda kama unahitaji kwa kaz nyingne za maendeleo sema usadiwe