Nahitaji external 2tb USED iliyo katika good condition

korokwincho

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
1,032
1,175
hellow wazee wa technologia , kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji external hard disk iliyo used(branz nzuri iliyo katika hali nzuri) bajeti yangu ni tsh. 120000
Nasawasilisha kwenu.
 
hellow wazee wa technologia , kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji external hard disk iliyo used(branz nzuri iliyo katika hali nzuri) bajeti yangu ni tsh. 120000
Nasawasilisha kwenu.
Pia na mm nahitaji ila mm bajeti yangu 140000. 2tb
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom