Hivi ni kweli computer za apple (mac os) haziingizi virus?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,682
2,000
Kuuliza si ujinga waungwana kuna watu nimesikia wakisema computer za apple haziruhusu virus yoyote ku attack its os na ni moja ya sababu inayosababisha computer hizo ziuzwe bei kubwa..watumiaji wa hizi pc ningependa kupata jibu toka kwenu ni kweli hizo pc haziruhusu virus kuingia kwenye mfumo wake??...
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,308
2,000
virusi ndio haviingii ila habari hii si kamili, vipo virusi vya java, flash na plugins nyengine ambazo huhitajika kufanya mambo mbali mbali vinaweza kuidhuru mac pia.

mfano unaangalia mpira online kwenye website ya flash basi kama kuna kirusi cha flash kinaweza kudhuru computer yako hata kama ni mac.

compare na windows mac ina virusi vichache, ila hata windows 10 inajitahidi kupunguza virusi.
 
PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,682
2,000
virusi ndio haviingii ila habari hii si kamili, vipo virusi vya java, flash na plugins nyengine ambazo huhitajika kufanya mambo mbali mbali vinaweza kuidhuru mac pia.

mfano unaangalia mpira online kwenye website ya flash basi kama kuna kirusi cha flash kinaweza kudhuru computer yako hata kama ni mac.

compare na windows mac ina virusi vichache, ila hata windows 10 inajitahidi kupunguza virusi.
asante chief kwa jibu lako..... hapo kwenye plugins na extension ambazo kwa namna moja au nyingine kama zitakuwa na virus hyo mac haiwez kudetect na kuremove kwa inbuilt antivirus??
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,308
2,000
asante chief kwa jibu lako..... hapo kwenye plugins na extension ambazo kwa namna moja au nyingine kama zitakuwa na virus hyo mac haiwez kudetect na kuremove kwa inbuilt antivirus??
hapana haiwezi na hata kama inaweza sio 100% sababu hizi java na flash zina ruhusa kubwa sana ya kuwasiliana na program husika.
 
Chamalama

Senior Member
Dec 12, 2010
128
225
Kama ni mtumiaji wa Windows, upgrade kwenda Windows 10.
Huna haja ya kuwa na wasiwasi. Nadhani kwa hii Windows 10 soko la antivirus litapungua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom