burahanthu
Senior Member
- Apr 21, 2012
- 143
- 38
Star times hakuna hata channel moja zote hata za nyumbani no access not subscribed any one with help on that or know how
Nipo dar kakaupo mkoa gani mkuu?
Duh hata za nyumbaniWanataka elfu 5
Hakuna channels za bure zote wanakata inabaki tbc ndiyo free siku hizi kwa star timesHilo tatizo ht mimi ninalo. nimelipia lkn bado una search mwisho wa siku hazionyeshi
taa zote zinawaka na kulipia pia nimelipia lkn uki search inaenda ikifia 100 inaonuesha signal ni 0Mkuu kwenye hicho king'muzi kuna taa mbili zinatakiwa ziwake!! Yaani ya red kuonyesha power on na ya yelow kuongesha signal ya antener kuwa ipo!kama hiyo ya yelow haiwaki hilo ni tatizo la antener hivyo huweni ona kitu!