Mobdro (Live TV) kwenye PC: Msaada!!

Gojaga Nize

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,755
1,734
Habari za usiku huu jamani, naombeni msaada jinsi ya kuinstall Mobdro kwenye ajili ya TV kwenye PC. Nilijaribu kufanya kama kwenye simu nikashindwa. Kwenye simu iko poa sana.

Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa majibu yote
 
Ni mobile application..ukitaka kutumia kwenye computer kuna appl unatakiwa kuinstal lakini itakua na mwonekano (window size) kama kwenye simu..ile size ya window ya comp hutaipata
 
Chief naomba unipe link ya kudownlod application ambayo itafanya laptop yangu iweze ku connect wireless network
wireless ni hardware kama computer yako haina ndio basi, labda kama unamaanisha driver.

unatumia pc gani na windows gani?
 
Hiyo Mobdro nilijaribu kuinstall kwenye simu yangu, looh inataka access ya vitu vingi sana toka kwenye simu yangu. Nikaipiga chini.
 
wireless ni hardware kama computer yako haina ndio basi, labda kama unamaanisha driver.

unatumia pc gani na windows gani?
Mkuu kwema naomba msaada wako kuhusu installation ya game, Kuna game nimeingiza lakin nikitaka kuplay inaandika d3d_dll is missing, nafanyaje, lakini kwa computer yenye specifications nzuri ya kucheza magame mengi naweza kuipata kwa bei gani?
Nashukuru
 
download direct x mkuu, kwanza angalia folder la hilo game kama setup yake imo kama haipo search online direct x
 
Back
Top Bottom