Im so sorry if am mistaken lakini since jana jioni CAS server iko down..sasa admin nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu yeyote mwenye altenative way to help...!!!
Jamani naomba kwa anae faamu anisaidie.ninasimu yangu aina ya Tecno h6 inasumbua line one mda wote inaandika emergency na pia setting za Internet za line 2 hazionekan kwaiyo nashindwa kupata 3G...
Msaada wa maelekezo ivi simu kama ilizimwa na TCRA je kuna namna yoyote ya kufanya iyo simu ifunction upwa kma mwanzo na kma ipo tunafanyaje ili iwe poa tena ??
Wataaramu mtusaidie jmn maelezo
Habari Wakuu
Nina TV aina ya Sony Bravia natamani sana kuiunganisha kwenye internet ili niweze kupakua apps lakini nimeshindwa.
Nikienda kwenye settings sioni option ya internet
Msaada...
Pita pita kwangu kwenye mitandao Leo hii nikakutana na habari kua Nokia wata toa toleo lao jipya na si jipya tu hila jipya kwenye mfumo wa Android 7.0 ujulikanao kama Nougat.
Tukumbuke Nougat ni...
Aliyeiloga Computer Science Tanzania naskia naye kalogwa kafa kenya kila siku wanakuja IDEA MPYA, Developers kibao Kenya lakin Tanzania wakitoka vyuo wanakimbilia kuwa mabloggers kutafuta pesa...
Bila shaka wana JF mpo pouwa lengo la kuanzia uzi huu ni kwa wale wote wanaotumia mfumo endeshi wa android haswa wale waliopafanikiwa ku update toleo la Marshmallow katika simu zao.
Naomba watu...
Kwa wale waliosumbuka na AvaFind kwenye windows 8,8.1 na 10 . Suluhisho lipo hapa : Download hii tool inaitwa Search Everything iko poa, faste,Lighter Low resources consumption na ni freeeee...
Habari zenu wakuu, wataalam na manguli wa fani hii ya iT inayorun dunia.
Mi ni mmoja kati ya watu wanaokubali kua kuangalia movies mbali na kua ni burudani lakini pana vitu utajifunza tu...
Habari za muda huu wakuu.Blackberry yangu z3 tangu jana inaniandikia 'SIM NOT DETECTED' sijui tatizo nini?Ilikuwa hivi jana nilipokuwa naingia kiwanda cha cement dangote mtwara simu iliniandikia...
kuna wakati unakuwa na game na zuri unataka kucheza lakini linakuwa halisuport pad za game hivyo inabidi utumie keyboard kulicheza, wengine keyboard na mouse zinawasumbua mpaka wawe na pad ndio...
naomba msaada nimedownlad bluestack lakin kila nikiinstall inasema local disc c haina space je? nitumia njia gani wakuu ama kama kuna njia nyingine ya kutumia whatsapp kupitia pc
Verizon announced on Monday morning it will buy Yahoo for $4.83 billion in cash. It is the end of a closely scrutinized, six-month sale process.
Yahoo first put itself up for sale in February and...
Line ya halotel haisomi Kwenye simu, ila voda na tigo zinasoma. Na Kuna baadhibya maeneo sim card inafail kusoma kisha simu kuji-restat yenyewe ndo isome. Hapo tatizo ni nini? (simu ipo rooted na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.