Habari za jioni wakuu, naamini Mu wazima naomba msaada nataka niwe na uwezo wa kuona channel nyingi za Michezo na nina Amin humu kuna wale wadau wa Satelite tv na ma dish please price na channels...
habari wana jamvi, ninatumia printer aina ya HP deskjet 1000 J110a ninajaribu kuprint excel document inagoma kuleta option ya printer name zaidi ya 0ne note2007 ila nikihitaji kuprint word...
NINA MASHINE YA DEKTOP ILA NATAKA KUINGA WIRELESS YANI NATAKA NITUMIE WIRELESS HAPA KUNA WIRELESS ILA NATAKA NIJIUNGE SITUMII LAPTOP NATUMIA DESKTOP SIJUI NAWEZA KUPATA MSAADA JINSI YA KUUNGA...
Wandugu naombeni msaada kwenye hii simu HTC Titan II imegoma kuwaka tangu nimetumiwa haiingizi Chaj. Ukichomeka chaj inavibrate tu kila baada ya sekunde kadhaa. Nimejaribu kubadilisha chaj tofauti...
Samsung’s embedded storage solutions really worked, and Samsung now wishes to share it with the rest of the world. Samsung Electronics has unveiled removable memory cards based on Universal Flash...
Wanajamvi habarini za wikiendi? Natafuta mashine ya kutengeneza popcon iliyo katika hali nzuri na bei isiwe ya kutisha kama za madukani ambayo inaanzia 450,000 - 500,000. Naona nijiajiri mapema...
Wakuu kila nikiitafuta Jamii Forum App kwenye App Store haipatikani, kwani kuna tatizo gani, naambia not available in Tanzania Store, natumia Iphone 5S
I am a freelance software developer.
I develop web applications no matter the size and complexity. If technology supports, then I can work on your project.
The applications I develop are of high...
The founder of the world’s largest torrent hosting website KickassTorrents is now behind the bars. The cause of his arrest are the legal purchases he made on Apple’s iTunes Store which helped the...
anaitwa ''Artem Vaulin''
marekani imefuatilia kwa zaidi ya miaka 10
apple,facebook na Google zashiriki kumkamata!
jamaa alikuwa anaingiza bilion karibia 70 tsh .
...
so hata sisi humu hatuko...
Ikitokea IMEI ya simu kupitia *#06# inaleta aina halisi ya simu na IMEI ya nyuma ya battery inaleta IMEI ambayo haioani na simu je kipi ni cha kuaminika? Au IMEI ya simu kupitia *#06# haioni na...
Wadau,
Kama mnavyojua normal Internet Download Manager (IDM) kwa PC inakaa kwa 30days only then mpaka ulipie. Sasa najua hapa kuna wataalam wa kuchakachua, au wataalamu wa kujua...
Habari zenu wakuu, nimepata tatizo kwenye simu yangu siwezi kuandika text yoyote, msg za kawaida, whatsapp na chochote kinachoitwa msg, yaani nikiingia kwenye uwanja wa msg, niki click pale sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.