what's up with Pokemon Go?

what's up with Pokemon Go?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,703
Reaction score
21,833
Oiiiiiiii wadau kuna hii kitu inaitwa Pokemon Go naona kila mtu anaiongelea ,nmejaribu kuitafuta app store naona vinakuja vitu vya ajabu ajabu,kama kuna mtu ameishaijaribu basi anipe procedure jinsi ya kuipata na je hivi hii inachezeka bongo kweli?
 
Nope haijawa launched kwa hapa bongo.inapatikana kwa sideload. Shuka chini kabisa uchukue latest version.. ichukue hapa
Pokémon GO 0.29.0 APK Download by Niantic, Inc. - APKMirror
Lakini hutoweza icheza..
Iko kwene nchi 34 tu kwa sasa..
United States
New Zealand
Australia
Germany
United Kingdom
Austria
Belgium
Bulgaria
Croatia
Cyprus
Czech Republic
Denmark
Estonia
Finland
Greece
Greenland
Hungary
Iceland
Ireland
Latvia
Lithuania
Luxembourg
Malta
Netherlands
Norway
Poland
Romania
Slovakia
Slovenia
Sweden
Switzerland
And soon Asia
 
Sasa kwa hapa bongo utachezea mitaa gani,labda masaki na obay.maana huku uswazi hizo pokestops na gyms zitawekwa stendi?.pia pokemon ni franchise spesheli kwa watoto nashindwa kuelewa kwann watu wazima wanaishadadia sana
 
Back
Top Bottom