Manunuzi ya Online na Gharama za TRA na Clearance

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
208
Likes
131
Points
60

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
208 131 60
Nilikuwa katika mipango ya mwisho ili niweze kulipia simu ebay (Nexus 5x) kwa thamani ya 300$ (shipping included) baada ya seller kuniambia ana ship kwa fedex international priority ikabidi niwapigie watu wa Fedex Tz waweze kunijulisha gharama ambazo mi nitalipa ili niweze kuchukua mzigo wangu

Haya ndo majibu yao

Nitalipa VAT 18%=54$

Nitamlipa clearing agent TSH 168,000/=

Custom duty 10% ya mzigo=30$

Gharama jumla inakuja approx..= TSH 350,000/

Kwa ujumla gharama za ku clear mzigo ni 50% ya thamani ya mzigo.

Imebidi tu nighairi nikaitafute simu kariakoo
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
1,324
Likes
472
Points
180

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
1,324 472 180
Duuuhh!!! Tafuta sanduku la posta mkuu kukwepa hiyo inshu na umtaarifu seller atume as gift so no taxes needed to pay
Mkuu hebu nifafanulie kuhusu usalama Na uhalali wa kuweza kuupata mzigo manake nataka ninunue bidhaa moja kutoka Ancona Italy Na mzigo utumwe kwa njia ya posta moja kwa moja mpaka posta ya wilaya ambayo nipo Mimi ILA sanduku la posta Ni la oficini kwangu.mzigo wenyewe Ni Lumia 950 Ikiwezekana nisaidie kujua njia ya fasta ambayo posta wanaweza tuma mzigo fasta Na makadirio ya gharama
 
al-bauly

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Messages
347
Likes
37
Points
45
Age
25

al-bauly

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2014
347 37 45
Nilikuwa katika mipango ya mwisho ili niweze kulipia simu ebay (Nexus 5x) kwa thamani ya 300$ (shipping included) baada ya seller kuniambia ana ship kwa fedex international priority ikabidi niwapigie watu wa Fedex Tz waweze kunijulisha gharama ambazo mi nitalipa ili niweze kuchukua mzigo wangu

Haya ndo majibu yao

Nitalipa VAT 18%=54$

Nitamlipa clearing agent TSH 168,000/=

Custom duty 10% ya mzigo=30$

Gharama jumla inakuja approx..= TSH 350,000/

Kwa ujumla gharama za ku clear mzigo ni 50% ya thamani ya mzigo.

Imebidi tu nighairi nikaitafute simu kariakoo
Mkuu lipa tu, tumsaidie RAIS wetu tujenge nchi.
Kama wewe hujajenga nchi nani atajenga?
 
JZHOELO

Senior Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
160
Likes
57
Points
45
Age
26

JZHOELO

Senior Member
Joined Sep 20, 2011
160 57 45
Nilikuwa katika mipango ya mwisho ili niweze kulipia simu ebay (Nexus 5x) kwa thamani ya 300$ (shipping included) baada ya seller kuniambia ana ship kwa fedex international priority ikabidi niwapigie watu wa Fedex Tz waweze kunijulisha gharama ambazo mi nitalipa ili niweze kuchukua mzigo wangu

Haya ndo majibu yao

Nitalipa VAT 18%=54$

Nitamlipa clearing agent TSH 168,000/=

Custom duty 10% ya mzigo=30$

Gharama jumla inakuja approx..= TSH 350,000/

Kwa ujumla gharama za ku clear mzigo ni 50% ya thamani ya mzigo.

Imebidi tu nighairi nikaitafute simu kariakoo

aisee pole sana kwa kutokujua ndugu yangu. ni kweli ni mujibu wetu kujenga taifa ila sio kwa unyonyaji...
back to topic;

1- unapotumiwa mzigo either kwa dhl au fedex au eramex kwanz HUHITAJI CLEARING AGENT... hujaagiza kontena umeagiza bidhaa tena ndogo mno kuhitaji hawa majamaa.

2- tumia njia mbadala kama kuandika mzigo ni gift au kupitia posta on a secure company p.o box... na kufungua box posta ni bei nafuu sana

3- unapotumia posta kuship mzigo kama simu MAKE SURE kuwa unalipia shipping (usichukue free shipping offers) hii ni sababu ya wauzaji kutumia cariers wabovu kwa free shipping ambapo mzigo ako unaweza usionekane au ukapotea. so you must pay for shipping na uwe offered tracking number na hiyo shipping fee isiwe kubwa sana (above 50 usd). sisitizia sana trackin number.
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
1,324
Likes
472
Points
180

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
1,324 472 180
aisee pole sana kwa kutokujua ndugu yangu. ni kweli ni mujibu wetu kujenga taifa ila sio kwa unyonyaji...
back to topic;

1- unapotumiwa mzigo either kwa dhl au fedex au eramex kwanz HUHITAJI CLEARING AGENT... hujaagiza kontena umeagiza bidhaa tena ndogo mno kuhitaji hawa majamaa.

2- tumia njia mbadala kama kuandika mzigo ni gift au kupitia posta on a secure company p.o box... na kufungua box posta ni bei nafuu sana

3- unapotumia posta kuship mzigo kama simu MAKE SURE kuwa unalipia shipping (usichukue free shipping offers) hii ni sababu ya wauzaji kutumia cariers wabovu kwa free shipping ambapo mzigo ako unaweza usionekane au ukapotea. so you must pay for shipping na uwe offered tracking number na hiyo shipping fee isiwe kubwa sana (above 50 usd). sisitizia sana trackin number.
Somo zuri nimeanza Ku gain kitu hiyo tracking number inakuaje samahani. kwa usumbufu sawa
 
Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
208
Likes
131
Points
60

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
208 131 60
aisee pole sana kwa kutokujua ndugu yangu. ni kweli ni mujibu wetu kujenga taifa ila sio kwa unyonyaji...
back to topic;

1- unapotumiwa mzigo either kwa dhl au fedex au eramex kwanz HUHITAJI CLEARING AGENT... hujaagiza kontena umeagiza bidhaa tena ndogo mno kuhitaji hawa majamaa.

2- tumia njia mbadala kama kuandika mzigo ni gift au kupitia posta on a secure company p.o box... na kufungua box posta ni bei nafuu sana

3- unapotumia posta kuship mzigo kama simu MAKE SURE kuwa unalipia shipping (usichukue free shipping offers) hii ni sababu ya wauzaji kutumia cariers wabovu kwa free shipping ambapo mzigo ako unaweza usionekane au ukapotea. so you must pay for shipping na uwe offered tracking number na hiyo shipping fee isiwe kubwa sana (above 50 usd). sisitizia sana trackin number.
Asante sana mkuu kwa ushauri wako. Kiukweli hata mi nilishangaa kuambiwa nimlipe CLEARING AGENT kwa simu moja tu. Kuna baadhi ya wadau walileta feedback ya mizigo kupotea posta. sijajua km hilo tatizo bado lipo hadi saivi ngoja nifatilie nione.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
7,499
Likes
8,397
Points
280

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
7,499 8,397 280
Nashindwa kuelewa kwa nini Tanzania kufanya imports ya vitu vidogo kama simu ama saa inakuwa gharama mno,ila kwa wale wenzangu wenye ndugu nchini US huwa naona wakiagiza bidhaa hizo wanaandikiwa delivery address za kwao halafu kipindi hao watu wakiwa wanakuja bongo ndio wanawabebea hivyo vitu wanakuja navyo!
 
JZHOELO

Senior Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
160
Likes
57
Points
45
Age
26

JZHOELO

Senior Member
Joined Sep 20, 2011
160 57 45
Asante sana mkuu kwa ushauri wako. Kiukweli hata mi nilishangaa kuambiwa nimlipe CLEARING AGENT kwa simu moja tu. Kuna baadhi ya wadau walileta feedback ya mizigo kupotea posta. sijajua km hilo tatizo bado lipo hadi saivi ngoja nifatilie nione.
hili tatizo la kupotea lipo especialy for free shipping parcels huwa hazipewi priority saana. ngoja nimuite wazoefu wa aliexpress kidogo au kama watakuwa na insight ya postal delivery.. binafsi nimetumia ali express this week na mzigo umekuwa shipped awaiting delivery na nimetumia postal box langu la hapa Mawnza
Njunwa Wamavoko
Mwl.RCT

Forum statistics

Threads 1,189,903
Members 450,860
Posts 27,652,961