Msaada; Ap ya Jamiiforums kutopatikana Apple Store.....

Msaada; Ap ya Jamiiforums kutopatikana Apple Store.....

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,896
Reaction score
40,097
image.png
Habari za wakati huu....wakuu.....
Hivi karibuni nilikumbana na hali isiyo ya kawaida kwenye ap ya JF iliyopelekea kuifuta.....lakini tangu baada ya kuifuta nimekuwa siipati tena kwenye jukwaa la apple.....sasa hivi naitumia jf kupitia browser....kitu ambacho mimi kinaninyima raha.....
Naombeni msaada wenu ndugu zangu....
 

Attachments

  • image.png
    image.png
    11.6 KB · Views: 69
Kaka hata mm nimekutana na tatizo hilo mkuu na jana niliandika hapa kuulizia ila sikujibiwa,
Baada ya utafiti mdogo niliofanya
Nilichogundua baada ya utafiti ni kwamba Apple wameiondoa Jamii Forum katika system yao ya App Store baada ya kuona wamefeli kufix bugs kwa toleo lao jipya (latest update)
 
Hivyo Jamii forum haipatikani tena kule App Store hadi hapo watakapofix bugs for the next release na wawe wamekubaliwa tena na Apple
 
Back
Top Bottom