Settings hazionekani kwenye Windows 10

Settings hazionekani kwenye Windows 10

zaitmemee

Senior Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
186
Reaction score
40
Habari wakuu, nina lenovo ideapad, imekuja na windows 10 installed kabisa.sasa leo nlikua nafungua settings lakini hai respond. Kwa anaejua solution ntashukuru sana[emoji120]
 
Chakufanya restart huku umehold ctrl na alt kwa wakat mmoja then ikiwaka itakupa option za kurefresh then itakuwa poa
 
Back
Top Bottom