Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 905
- 623
Wakuu habari za siku, ni matumaini yangu wazima wa afya.Naombeni msaada kuna images nahitaji kuzifanya zionekane vizuri ili niweze attach kwenye document (Ms Word) nimeambiwa nitumie illustrator.Je nafanyaje ili niweze kukamilisha hiyo kazi.Nawasilisha!!



