wakuu simu yangu ime`stuck,haisense kabisa kwenye touch,hadi ni`touch kama mara tano hivi ndio inakubali na si mara zote,nikipigiwa ndio hata siwezi kupokea,hai`function chochote,chanzo cha tatizo...
Wasalaam Nyote
Wakuu nina shida ya wataalam wa VideoCamera hasa zinazotumia DIV. Kwa bahati mbaya DIV zangu za tukio la sherehe yangu zimepata hitilafu ktk upande wa sauti/audio inakatakata ila...
najaribu kuifungua toka mapema leo haifunguki kwa ujumbe wowote . kuna kuwa na blank page. huwa naitumia hii kudownloadia torrents ili nije nizi download na download manager.
Wadau kwa kawaida kila mtumiaji wa pc anakuwa ameinstall software ktk kompyuta yake kwa kadri ya mahitaji ya matumizi yake,
Mtu anayeshughulika na mambo ya video production na photos atatumia...
Jamani kuna hii blog yangu halo news: We are committed to working with partners who feel we have to raise our level of dignity Nimeunganisha na google adsense lakini napata hela kidogo sana dollar...
Wadau kuna hii device tecno walikuja nayo lakin cjui kama tanzania ilifika nimeitafuta cjaiona na hata mawakala wao wengine hawaijui.kabisa....
Mwenye kujua inapatikana wapi anipm please
Habari za jioni wakubwa,nahitaji kufahamu mtandao wenye bando nzuri za internet ambao unatoa mb za kutosha kwa gharama kidogo kati ya Airtel,tigo,voda na halotel
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojielezea , natafuta web and mobile developers ambao tunaweza tukakaa chini tukaanzisha computer lab ya kudevelop system/app kama group. Au kushare...
Kama kichwa habari kinavyojieleza,
Nimekua nikijiuliza, apps nyingi za android ambazo zipo playstore zinapatikana free(sina uzoefu na iphone kama nao wana free apps) swali ni je hawa developers...
Habari za humu ndani ndugu zangu,
Tafadhali naomba msaa wenu, nina modem ya UNIVESAL hiz ambazo zinauzwa bila service provider, kila niki connect haikubali,
Naomba mwenye kujua miweke vitu gani...
Dalali inaungaisha wateja na wafanyabiashara kupitia tovuti yake www.dalali.co Unachotakiwa kufanya ni kujisajili, na kuweka tangazo lako bure kwenye website ili kufikia wateja wengi wanaotembelea...
Apple just unveiled the new iPhone 7 & Plus during its event in San Francisco today.
Apple today unveiled its latest iPhones: the iPhone 7 and the iPhone 7 Plus.
Apple first announced the...