ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,369
Wakuu nimerudi naomba msaada.
Mi nilibadili font ya simu kwa kutumia app ya IFont, sasa Hii font nimechoka nataka kubadili tena, cha ajabu hats app yenyewe ya I font imepotea, nimeingia play store ili nii install tena imegoma( inaandika can't install) kwenye settings za simu pia nimekosa kabisa sehemu ya kubadili font,.
Ni muda mrefu sasa na simu iiko rooted, je nifanyeje wakuu??