Msaada wenu wajuzi

Msaada wenu wajuzi

Hiyo simu haina update hadi sasa, nenda play store pakuwa app ya tecn inaitwa tecno spot, itakusaidia kupata update na news mbali mbali za simu yako or simu yoyote ya tecno
Simu ya tecno iliyowahi kipata upgrade ya version ni C8 tu.
 
Nina uhitaji wa kujua namna ya kuupdate version ya Tecno Boom j7
Kama inaruhusu kuupdate kutoka katika version ya kawaida 4:4:2
Afadhali umeuliza bana, mana na mimi nina liboom langu hapa!
 
Hawa jamaa useless sana sasa hivi wamezipa kisogo boom j8, camon c5,c8,c7,c9 bila kusahau phantom 5 hii ndio kabisa haijawahi kujua nn maana ya update, sasa wapo mbioni kuzindua phantom 6 na 6 plus.
Swali fikirishi lini wataikumbuka boom j7 yenye KitKat while we are talking about nougat.
Hawa jamaa bado mchezo wao ni ule ule ili kupata latest version kwenye simu yako ni kununua simu nyingine.
 
Hapa kuna solution lakini ni complected sana. Ipo njia ya kutumia custom ROM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom