CRACKED- instafollowers

CRACKED- instafollowers

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
kuna app nyingi za ku-unfollow watu ambao hawakufollow ig. mfano ni crowdfire na instafollowers. lakin hizi app zimeanza kuzingua, kwa wale mnaotumia hiz app mmeshaelewa nachomaanisha. wamepunguza features nyingi ili tu ununue hzo features kwa dola kubwa.

nawaletea instafollowers ambayo imecrackiwa. features zote unazipata bure pasipo kulipia

1.uwezo wa ku unfollow
hii app inaweza kuunfollow watu mpaka 100/hour ambayo ni max limit kwa ig terms
1474568282193.png


2.blockers
hii app unaweza kuona waliokublock tofauti na ile ya bure playstore ambayo wamestrick mpaka ulipie

3.user insight, media insight
1474568451044.png


4. unlimited number of accounts
unaweza ukaweka accounts nyingi upendavyo

1474568533131.jpg


5. etc....

anayeihitaji app hii ani pm au wasap. +63 938 038 7931
 
Ikiwa na wewe unataka kufuatwa pm ili utoe app iliyo crakiwa kwa kulipwa kitu kidogo , basi huna tofauti sana na hao wanao charge dollars

Tena bora tu kununua hiyo genuine application
Kuliko mlolongo huu
 
Ailete tuijaribu kwanza kama inafanya kazi alafu ndo tununue
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom