Wanajamvi naomba kuuliza....nimepata mfadhili ambaye amenunua mashine ya ultra sound marekani na anampango wa kuja nayo bongo....utaratibu ukoje?je itapaswa ilipiwe kodi iwapo atasafiri nayo kuja...
Habari! Blog yangu inasumbua sana, kwanza haipost video. Ukipost video basi inaleta image tu ya mwanzo ya video husika.
Pili, nashindwa ku-signup kwenye Earnings kuruhusu Google Adsense ilihal...
Nilifungua Blog kwa njia rahis ya account yangu ya Google. Tatizo ni kwamba Template zote zinafanana na blog zote. Tofaut ni rangi tu za template, naomba msaada kwamba naweza kutumia Template za...
Sina utaalamu wowote za kuangamiza virus kwenye computer zaid ya kutumia anti-virus program.
Leo nilipeleka flash yangu stationary kadhaa ikagoma kufunguka ndio nikafikia moja hiyo hapa mjini na...
Hadi sasa nime google mpaka nimechoka, wadau mwenye experience ya kucheza games kwa kutumia usb au external kwenye x-box 360 naomba msaada.
leh unahitjika
Habar zenu wakuu...naombeni mnijuZe ni games zipi zinakuwa na multiplayer kwenye smart phone yani mfano kama kwenye mpira tuna kuwa na simu mbili kila mtu anachagua timu yake lakn tuna cheza kwa...
Wakuu aman ya bwana iwe juu yenu. Me natumia iphone 6s, ni mwez sasa na siku kenda app ya JF imegoma kabsa kufunguka Kila niki refresh nambiwa no new topic. Hapa imebidi nifungue website ya jamii...
Kampuni ya Simu inayoshindana na Tecno katika kutoa matoleo ya simu imetoa taarifa kuwa Simu yake ambayo ni mpya sokoni ya Samsung Galaxy Note 7 ina hitililafu na Kupelekea Kulipuka wakati wa...
Habari wakuu..
Nina simu yangu aina ya HISENSE imekufa screen touch yake, kwa fundi au mtu ambaye anaweza kuitengeneza tuwasiluane.
Mimi niko kibaha, so kama uko tayari ni PM namba yako ili...
Habari zenu wadau......
Kwa wale ambao wataweza kuwa msaada kwa vitu viwili......
Kwanza ni kunisaidia kupata fundi mzuri wa kutengeneza laptop.......si hawa mafundi uchwara ambaye anagusagusa...
Wana jamvi naomba mwenye uelewa anijuze tofauti kati ya INFORMATIONTECHNOLOGY VS INFORMATIONCOMMUNICATION AND TECHNOLOGY kwa sabababu nashindwakuzitofautisha.
Pia naomba kuuliza Bachelor of...
Habari za jumapili wadau, nimevutiwa na solo la mobile application na ninaamini hii ni moja ya teknolojia inayoweza kukuingizia kipato. Ninaomba kufahamishwa endapo nitaamua. kutengeneza...
Jamani wakuu naombeni msaada wa kujua ni software gani ya PC naweza itumia convert mp4 files kwenda DAT files coz nataka kuburn CD ya video lakini kila nikiweka nyimbo za mp4 kwenye ashampoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.