Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habarini wanajamvi, nahitaji baadhi ya spare kama microphone ya Lumia 820 , USB port ya 820, charger connector ya Lumia 920, charger controller IC ya Lumia 820 kama Kuna mtu anafahamu Duka au...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Wana Forum naombeni msaada wenu. Nilipata kununua simu ya Nokia Lumia 900 online ughaibuni na miongoni mwa vitu ambavyo sikuwa nimeviangalia sana ni betri yake. Simu hii inatumia betri wanayoita...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
When i start black ops 2 an error is coming up and says Error during initialization: unhandled exception caught. please wana jamii naombeni solution. v
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau Habari za mida hii, Nina machine Canon ir2420, inanipa error ya Bios Mode waiting for update. Hiyo msg inatokea Mara baada ya kuiwasha. Please naombeni Msada wenu wakuu.
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Habari Ndugu, Natumia Samsung tablet kwa miaka 3 sasa. Inanipa changamoto, kila nikidownload document za Pdf na Word zinagoma kufunguka. Naombeni msaada kwa hilo.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa Yeyote Mwenye APK ya WhatsApp Plus Inayofanya Kazi. Material Design Naomba Anitumie .. Maan Nilikuwa Natumia Moja Juzi Naona Wameshaiblock nimeamia Kwenye Official ambayo siipendi Sanaaaa...
0 Reactions
173 Replies
31K Views
Habari ndgu wanajamvi, jamani msaada ndgu simu yangu galaxy note 4 SM-N910A inachemka sana nikiitumia yan inakua ya na joto kweli kama sufuria limewekwa kwenye moto. Nifanye nini wadau??? Msaada...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hiyo ndo speed nimepata Leo
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau habari za asubuhi!!! Samahani Naomba msaada wenu tafadhali Nina hiyo photocopy machine ila sina CD ya drivers za printing kwa Hiyo Naomba mwenye nazo anipe msaada tafadhali. Ahsante
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wenu kuna siku mbili sikupata channel ya Star TV nikajua ni tatizo dogo lakini sasa hata kwenye list haipo Natumia Star times..nifanyeje msaada jamani
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu heshima iwe kwenu natumai mmeshinda salama naombeni msaada kwa wazoefu wa mambo haya ya umeme.Kati ya hizi Main Switch ipi ni nzuri zaidi ya nyingine na bora kwa matumizi ya nyumbani TRONIC...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapi nitapa betri orijino ya LG G3 na ni bei gani?
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Habari za muda Simu aina ya samsung iko kama imevujia wino kwenye screen Sasa kuna watu wananiambia kuwa nibadilishe kioo pia wapo ambao wanasema Kariakoo kuna mafundi wanasafisha bila kubafili...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Simu yangu ina tatizo la kusoma line nikiweka line katika simu inasoma, ila minara haisomi inaandika EMERGENCY CALL - Airtel na baada ya muda inasoma alafu tatizo linarudi sijajua ni kwanini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wataalam naomba kujuzwa nyumba ninayokaa ina madirisha ya zamani ya chuma kama yale ambayo watumia zaidi kule Moshi/Arusha. Kuna baadhi ya vioo vimetoka/pasuka sasa tunahangaika kubadirisha...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Nikifungua Web page kwenye simu yangu inaniletea page zifuatazo http ://www.maxonclick.com/a/ www.gocloudly.com/rd.html Str.aigames.mobi Then inaleta ujumbe kuwa your Android is demaged by...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu ni matumaini yangu mko poa wote..shida yangu ni moja naombeni msaada wenu nataka kudownload formware ya android marshmallow ikiwa kwenye mfumo wa zipped file coz nataka niupgrade OS kutoka...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari waungwana, Naombeni msaada, nashindwa ku'access Google Play Store kwenye simu yangu ya Android ...naletewa ujumbe huo hapo juu (REEDEM YOUR CODE). Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa. Naombeni kujuzwa utofauti uliopo kwenye hizi simu za huwawei yaan kwa mfn tofauti kati ya HUAWEI P9, HUWAWEI MATE8 na Huwawei G8 (kwa ujumla utofauti kati ya simu za huawei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock Huawei E303 lakini sikuiona. Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni Vodacom E303 nimeweka Airtel firmware kisha nikai-unlock...
28 Reactions
203 Replies
69K Views
Back
Top Bottom