Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna Form nimepewa nahitaji kuitengeneza kwenye Micro.Excel msaada hatua zake
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari zenu Simu yangu aina ya Samsung J5 imevujiwa wino kwenye display, natafuta mtaalamu au mahali ambapo wanabadilisha kioo kwa uhakika Kama yupo anisaidie tafadhali...[emoji22] [emoji22]
0 Reactions
7 Replies
907 Views
Ninamiliki simu aina ya Huawei Y530 na pia nimeiroot. Lengo mahususi la kuiroot ilikua ni kupata fursa ya kupdate android yake kutoka 4.3 to Lollipop or any other latest version. Lakini...
1 Reactions
0 Replies
575 Views
Wakuu naomba msaada namna ya Kusign CV Online nimeambiwa nitume signed CV.
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Wadau habari zenu, ninashida ya ku download software tajwa hapo juu naombeni msaada wenu kuinunua sina pesa naitaji kuipata lakini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wadau,naomba kujua applications za zenye uwezo wa kutoa sauti nakubaki beat tu kwenye audio kwakutumia simu
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Halotel ukilinganisha na mitandao mingine ya kawaida ya huduma za mawasiliano. Binafsi karibuni nimetumia mitandao mitatu Tigo, Airtel na Halotel kwa ajili ya...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Usione AMD wamekaa kimya. Ukimya wao wanautumia vizuri. Wame plani kutengeneza accelerated processing unit (APU) ambayo ni combination ya CPU na GPU! hivyo basi zitakua haziuzwi tena separate...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kama ilivuoandikwa hapo juu naomba mnisaidie maana napokea notifikation lakini I cant access them directly...Mf: ninaweza pokea "29 notifications on Jamii forums" lakini niki-tap ili nizione...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika pita pita kwenye mitandao nikaingia kupatana ni kakuta hivi kama kwenye screen short hapo chini je hiyo bei yenye usd iko sawa hala tukiachana na maswala ya bei mimi nauliza wataalamu wa...
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Guys naombeni msaada wenu kwa waelewa au mnaotumia simu hii, sijazoea simu iniendeshe inavyotaka bali ninavyotaka mimi ndiyo maana napenda kutumia android na wala si ios. Hii simu inakataa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu, natanguliza shukran zangu za dhati. Kwa anaefahamu software nzuri ya ku editia video, kuunganisha picha na kuziwekea mziki. Tafadhar naomba anijuze. NB: Nataka software za computer na siyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu napenda kufahamu camera nzuri na bora kwa video production ni ipi. Maana nahitaji kununua camera bora na kisasa ambazo zitakuwa za muda mrefu. Wataalamu Filamu wanasema ukiachana na stori ya...
0 Reactions
19 Replies
14K Views
Nahitaji application for iOS Kwa ajili ya mobile tracker Kwa ajili ya sms na whatsapp.nahitaji Kwa kupata sms kutoka simu nyingine nizione kwenye simu yangu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Walimu wa tranforer na mota aliyepo Arusha mjini anahitajika.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kawaida sasa hivi kwenye redio kusikia matangazo ya lumia, samsung galaxies zinazidi kushika kasi, techno wanakomba soko la Tanzania na huawei nyingi za tigo zinazidi kusambaa. yote haya...
15 Reactions
93 Replies
16K Views
Best download speed worst ping will it succeed?
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu nashindwa kuelewa utajiri wa Bill gates, Zuckerbarg, mmiliki wa google (android),. Ukiwatizama matajiri hawa unakuta wamewashinda wamiliki wa makampuni makubwa hapa dunini ambayo bidhaa zao...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Tembelea bongotech.co.tz/blog uweze kudownload video na kitabu.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1109000/ MSAADA WA MHIMU SANA WAZALENDO NISAIDIENI PLZ
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Back
Top Bottom