Vote for PesaApp

Vote for PesaApp

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
945
PesaApp ni app ya simu ambayo itahusika kusaidia ubadilishaji wa aina za fedha online kupitia simu ya mkononi nchini Tanzania na A.M kwa ujumla.
Wazo hili limeingia katika shndano la EQUITY BANK. Hivyo ili kulipgia kura unatakiwa kufungua link Mambo Safi then utakuta menu inayoanza na Mimi ni mwanafunzi, shuka chini hadi mawazo yetu click hapo then view Majina ya watu na mawazo yao hadi ukikuta Abdul.M.M.Sungita then fungua kwenye soma stori yote. Kisha click kwenye Pigia kura kwa facebook unaweza rudia hata mara ya pili hadi litokee Piga Kura then click hapo. Ukishapg utaambiwa ahsante na utaona idadi ya kura zinaongezeka. Ahsante, kura yako ni muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom