Tigo wanatoa GB za bura

Tigo wanatoa GB za bura

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
1474693022228.jpg
.
 
sajili laini ya 4G
Kama 3G ni mizinguo,na 4G si yatakuwa yaleyale tu?
Juzi kati nikajiunga na kifurushi chao cha YouTube kile cha saa sita usiku,speed yao ni mbovu sana.
Nikilinganisha na cha halotel cha YouTube cha saa sita usiku,speed ya halotel ni kubwa mara mbili ya tiGO.
Napata jibu kwamba halotel ndiyo mpango,kwanza vifurushi vyake vinatoa MB nyingi kuliko tiGO.
 
Kama unakaa jangwani /upanga Ndiyo utanifikia hizo mb's vinginevyo weka kwenye kitòchi tu hiyo line kama nilivyofanya hapa
 
Tigo hata waseme Bure siku zote sijisumbui, Mtandao gani video kuona hadi usiku wa manane ndio zinafunguka. Kitu halotel 24 hours kinafungua fasta
 
Waboreshe kwanza speed ya internate yao ndo walete hizo 3G na 4G.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom