Betri ya Laptop

Betri ya Laptop

richnigga

Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
84
Reaction score
59
wadau naomba msaada kwa anayejua bei ya betri mpya ya laptop aina ya dell... Betri yangu imekufa na nahitaji kununua nyingine ... Ansanten.
1474802689933.jpg
1474802700266.jpg
 
halaf hata yangu hii inazingua aisee,ngoja kesho nizame kkoo nikanunue.
 
Back
Top Bottom