Tuzifahamu mobile applications nzuri zilizotengenezwa na wabongo...

Tuzifahamu mobile applications nzuri zilizotengenezwa na wabongo...

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,927
Reaction score
15,984
Mimi kuna baadhi ya Mobile Apps ambazo zimetengenezwa na wabongo na nimezikubali, zimekuwa useful kwangu. Kupitia huu Uzi naomba tuziorodheshe mob apps zote bora zilizotengenezwa nyumbani ili tusapoti vitu vyetu na wasiozijua waweze kuzifuata play store:-
Naanza na hizi tatu..

1. Mob App ya JF - Ingawa ina kasoro ndogondogo but still ni moja ya apps bora za kibongo, nnapokuwa mbali na PC basi huyu ndo mkombozi wangu nnapotaka kuingia JF

2. tHL (App yenye masomo mbalimbali ya sekondari na kompyuta)- Aisee hii app ni babkubwa, nilifungua katwisheni centre kangu huyu ndo akawa mkombozi, kuna notes nzuri na summarized za masomo yote ya sekondari ingawa 'sio free'.

3. Mziiki App- Hii inaweza kuwa ndo app bora kwa muziki wa kibongo na e.a inanisaidia sana nikitaka kupakua masong.

4........
 
  1. JF app imesimama sana, nimeipenda na huitumia mara kibao
  2. Mziiki app kwa bahati mbaya ni ya wa SA, ila MUZIKINET app ni ya watanzania na naona imetengenezwa na watt, so ni kitu cha kujivunia
  3. Hii ya shule sijaitumia
CHA MUHIMU NI WATANZANIA KUWEKEZA ZAIDI KWENYE IT AS NI MAMBO RAHISI YANAHITAJI MUDA TU
 
sorry nilijua mziiki ya bongo
 
LAA hii hunipa habari zote za chuo ninachosoma...

ni kwa vyuo vyote.
 
Kuna app ya UKAWA ni noma ipakue playstore kwa wale wa android
 
App ya kizalendo inaitwa ATIZAVO ni shidaaa kwa tz ina deal na USSD call
 
FLEVA TZ hii app kwaajili ya ku-download miziki ya kitanzania tu lakini za video
 
Ha haaaa
Naona hii thread ipo ku-advertise biashara za watu.
 
Back
Top Bottom