AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,841
wakuu habari .
Kama kichwa kisemavyo, nina shida ya kutaka kuifanya account yangu ya Youtube kuendelea kuchuma mapato tena kwani awali walinifungia kwa siku 90 na kunitaka nifute video zote ambazo zilikuwa na copyright ya youtube katika channel yangu kutoka katika channel nyingine.
Nilifanya hivyo na siku 90 zimepita lakini bado account yangu haisomeki kama inaweza kuchuma mapato, naombeni msaada wa kujua ni nini nifanye ili irudi katika hali yake ya kawaida ya kuchuma mapato.