Mobile applications

Mobile applications

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,947
Reaction score
9,504
Hello, Naomba kujua gharama za kutengeneza mobile application ,kuna application nataka itenegnezwe ni ya maswala ya kilimo sasa natafuta wanao tengeneza hizo applications za mobile hasa hizi android.
 
Gharama ya app inategemeana na content yake sasa ni vyema ungeweka summary hiyo app unataka ifanye kazi gani?
 
Kama uko serious call 0754710410. Kampuni yetu hufanya hizo kazi
 
Back
Top Bottom