ikitoka 4.4 inakuja hio 5. kunaweza kuwa na patch za hapa na pale ila update kubwa ni mojaHadi kuifikia hiyo 5.1 unaweza apdate mara ngapi labda au ni mara moja tu
Ndo mwishoNimeapdate imefika 5.0.1 au bado tena?
Mimi nina S4 ya verizon wireless.update hadi lolipop 5.1
huwezi ku update simu ya verizon ukiwa Tanzania na ota, itabidi ufanye update manual. download rom ya verizon uflash na odin.Mimi nina S4 ya verizon wireless.
Msaada jinsi ya kuiupdate maana nimeshindwa
vipi imetatua matatizo yako?Nimeapdate imefika 5.0.1 au bado tena?
Poa itakuwa sawa lakini?huwezi ku update simu ya verizon ukiwa Tanzania na ota, itabidi ufanye update manual. download rom ya verizon uflash na odin.
Vp kwa S3 hakuna updates?? Ipo hapa naona imekaa kaa tuupdate hadi lolipop 5.1
hakikisha tu rom ni ya simu yako, nenda setting halafu about kuangalia model yake then utafute rom ya hio modelPoa itakuwa sawa lakini?
s3 ya kimataifa mwisho 4.3 na ile ya korea na usa 4.4 kama unataka kwenda zaidi ya hapo ni custom rom,Vp kwa S3 hakuna updates?? Ipo hapa naona imekaa kaa tu