Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habar wakuu? leo nimeamka asubuh natak kuperiz mtandaoni nashangaa meingiza modem kwa PC inakataa kusoma mejarbu mara kibao,hat nikifanya dial up inagoma pia.inaandika hivi pc kuwa error...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Habarini members. Nawezaje tengeneza page ya Facebook bila kuwa na Add Friend? au Niwe na kitufe cha follow pekee yake nifanyaje? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
616 Views
jamani naombeni usaidizi wa product key za wnds 8.1 coz pc inaandika Actevate windons
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1.mobdro Hii in zaidi ya kisimbuzi inafanyakazi vizuri sana kila aina ya channel utazipata kuanzia sports channel km beIN sports,sky sports,fox sports Za habari kama BBC news CBS CNN...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
wakuu simu yangu ime`stuck,haisense kabisa kwenye touch,hadi ni`touch kama mara tano hivi ndio inakubali na si mara zote,nikipigiwa ndio hata siwezi kupokea,hai`function chochote,chanzo cha tatizo...
1 Reactions
0 Replies
588 Views
Wasalaam Nyote Wakuu nina shida ya wataalam wa VideoCamera hasa zinazotumia DIV. Kwa bahati mbaya DIV zangu za tukio la sherehe yangu zimepata hitilafu ktk upande wa sauti/audio inakatakata ila...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
najaribu kuifungua toka mapema leo haifunguki kwa ujumbe wowote . kuna kuwa na blank page. huwa naitumia hii kudownloadia torrents ili nije nizi download na download manager.
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Wadau kwa kawaida kila mtumiaji wa pc anakuwa ameinstall software ktk kompyuta yake kwa kadri ya mahitaji ya matumizi yake, Mtu anayeshughulika na mambo ya video production na photos atatumia...
5 Reactions
25 Replies
11K Views
Jamani kuna hii blog yangu halo news: We are committed to working with partners who feel we have to raise our level of dignity Nimeunganisha na google adsense lakini napata hela kidogo sana dollar...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Naomba kujua njia ya kupata IDM serial number
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau kuna hii device tecno walikuja nayo lakin cjui kama tanzania ilifika nimeitafuta cjaiona na hata mawakala wao wengine hawaijui.kabisa.... Mwenye kujua inapatikana wapi anipm please
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Habari za jioni wakubwa,nahitaji kufahamu mtandao wenye bando nzuri za internet ambao unatoa mb za kutosha kwa gharama kidogo kati ya Airtel,tigo,voda na halotel
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Inauzwa laki tano tu. Nitafute whatsap 0719518331
0 Reactions
6 Replies
944 Views
Wadau naomba kufahamu ubora wa simu ya itel 1556
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Abusive language is not allowed[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
4 Replies
962 Views
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojielezea , natafuta web and mobile developers ambao tunaweza tukakaa chini tukaanzisha computer lab ya kudevelop system/app kama group. Au kushare...
1 Reactions
2 Replies
718 Views
Kama kichwa habari kinavyojieleza, Nimekua nikijiuliza, apps nyingi za android ambazo zipo playstore zinapatikana free(sina uzoefu na iphone kama nao wana free apps) swali ni je hawa developers...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman naomba msaada wa hatua za kufanya hadi unaweza kushare mb na simu nyingine. Nilikuwa nimefundishwa ila nimesahau waungwana
1 Reactions
4 Replies
16K Views
Waungwana habar zenu Natafuta camera aina ya CANON D500 used kama kuna mwenye nayo plz
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom