SnapChat

SnapChat

fabivic

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
227
Reaction score
123
Msaada jaman,mi navoonekana ni mtoto wa mjini muda mrefu na nalijua hilo

Ushamba wangu Sijui kutumia au kuchat Snapchat
Naweza kuitumia kujichukua video na picha tu lkn mambo mengine hollaaa sijui kbs

Msaada tafadhali
 
Snapchat rahisi tu. Nambie unatakA kujua nini
 
mbona simple sana...acha uoga
[HASHTAG]#humphreymorise[/HASHTAG] mwenye snap anichek

na mwenye tatizo areplay
 
Bora mie niliejichagulia whatsapp, Facebook na IG mengine, tuwaache vijana
 
Back
Top Bottom