Nenda kwenye setting kisha angalia network, utakuta kuna 2g, 3g na 4g lteUnawezaje kujua simu fulani kua ina uwezo wa 4G
Asante mkuuNenda kwenye setting kisha angalia network, utakuta kuna 2g, 3g na 4g lte
Pia unaweza kuangalia sifa za simu husika kwenye upande wa connectivity (Maelezo hayo yanaweza kuwa kwenye box la simu, user manual au unaweza kuangalia kwenye mtandao).Unawezaje kujua simu fulani kua ina uwezo wa 4G