msaada tutani

msaada tutani

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
za jumapili nyote. naomba msaada kwa mwenye kujua namna ya kutatua changamoto hii.

nimeinstall bluestack na baada ya hapo nikainstall application tofauti na mojawapo ni tubemate. sasa nimedownload movies ila hazionekani kwenye hard disc. na haikubali kucheza kwenye program za pc isipokuwa kwenye tubemate pekee. je nitawezaje kuzihamishia kwenye external hard disk
 
ukiwa kwenye tubemate... i right click hiyo movie then click select "show folder"

ukiminya hapo itakupeleka kwenye folder lake!!

au unaeza enda kwenye my computer alafu upande wa kushoto chagua videos utaziona huko
 
kunakuwa na folder moja linakuwa shared baina ya bluestack na pc
-ndani ya bluestack ni /sdcard/windows/BstSharedFolder
-ndani ya pc ni /UserData/SharedFolder

kulipata hilo folder ndani ya bluestack itabdidi uwe na file manager kama es file explorer na kwenye pc hayo mafolder yanakuwa ndani ya folder la bluestack hivyo angalia wapi ulieka bluestack

utatakiwa utumia hilo file manager kuihamisha hio video toka folder la tubemate hadi hilo shared folder ili kuiona kwenye pc.

ila shida zote hizi za nini? kwanini usidownload tu hizo yotube video na pc yako?
 
Back
Top Bottom