dtj
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,335
- 1,390
Salaams,
Kama kichwa kinavyo jieleza, natamani kuanzisha online radio hapa bongo. Naomna kwa mwenye kujua
1. Vifaa
2. Uendeshaji
3.Faida
4. Hasara za kuwa na Online radio
5. Usikivu na upatikanaji wa frequency ukoje ?
6. Gharama kwa ujumla.
Kama unaweza kuongeza kitu pia itafaa Sana.
Natanguliza shukrani kwenu.