Kama kichwa habari kinavyojieleza,
Nimekua nikijiuliza, apps nyingi za android ambazo zipo playstore zinapatikana free(sina uzoefu na iphone kama nao wana free apps) swali ni je hawa developers...
Habari za humu ndani ndugu zangu,
Tafadhali naomba msaa wenu, nina modem ya UNIVESAL hiz ambazo zinauzwa bila service provider, kila niki connect haikubali,
Naomba mwenye kujua miweke vitu gani...
Dalali inaungaisha wateja na wafanyabiashara kupitia tovuti yake www.dalali.co Unachotakiwa kufanya ni kujisajili, na kuweka tangazo lako bure kwenye website ili kufikia wateja wengi wanaotembelea...
Apple just unveiled the new iPhone 7 & Plus during its event in San Francisco today.
Apple today unveiled its latest iPhones: the iPhone 7 and the iPhone 7 Plus.
Apple first announced the...
Naomba msaada wakuu, application ya camera kwenye desktop ya laptop(sijui kama niko sahihi hapo kwenye uandikaji) haionekani, nifanyeje niirudishe?????
Nina ps3 nimeichip na nahitaji kucheza games online ... Kuna story kwamba niki connect na internet ps3 ita corrupt all files sasa vipi nitacheza online. ??
Habar zenu wana JF.
Msaada jinsi ya kuandika batch script ambayo itaweza kurename filenames kwa kuongeza namba kuanzia moja mpaka namba ya mwisho kutegemea idadi ya files kwenye folder lakini...
Habari ndungu wakubwa kwa wadogo
Naombeni msaada nmepata laptop kutoka dubai kwa sh laki sita aina ya mackbook pro (apple laptop) sasa jinsi ya kuisafirisha kuja tz nifanyeje?
Hatimaye kampuni ya apple inatarajia kuzindua simu ya iphone 7 hapo leo (siku ya jumatano).
Matarajio ya wengi ni kwamba iphone 7 itakuwa na camera yenye lens mbili, na tundu la kuwekea earphone...
Toka nimeanza kutumia whatsapp sijawahi kulipia subscription fee na ukiangalia application hii haina matangazo. Je whatsapp wanapata vipi faida au wanatengeneza vipi pesa
magwiji ya kutengeneza simu jana wametambulisha bidhaa yao ikiwa na vitu vizuri lakini kwa upande wa betri mm naona kama ndogo vile nafikiri huku bado hajafika
[Wakuu naomba msaada wa Ku unlock Broadband ya Smile LTE/4G nimeweka line nyingine lakini bado inaandika Smile 4G. Naombeni mbinu za Ku Unlock itumie laini zote.
Hii device inaitwa
Franklin...
habari zenu wadau
mimi ni kijana mdogo tu nategemea kwenda chuo kiku mwezi ujayo..nimeplan kununua laptop kutokana na kukosa uzoefu nimekuja hapa ili nipate ushauri wenu....ningependa sifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.